Download details
FLYER SESCOM 08 OCT FLYER SESCOM 08 OCT 2020
(1 vote)

JIKO SANIFU LA UMEME LENYE PRESSURE-JULEP (Electric Pressure cooker-EPC)
JULEP ni jiko la umeme linalopika kwa kutumia joto na presha ya mvuke unaokusanywa ndani ya sufuria. Jiko hili hutumia nishati kidogo sana kuivisha chakula kwa muda mfupi na kuhifadhi ladha, hivyo huokoa fedha, muda, afya na mazingira.

Lina uwezo wa kupika vyakula mbalimbali kama vile kande, wali, ndizi, mchemsho, ugali, pilau n.k, kwa njia ya kuchemsha, kurosti/kuunga, kwa mvuke(steam cooking) na kuoka Jiko hili lina kikombe maalumu ambacho kinatumika kama kipimo cha ujazo wa chakula kinachopikwa na maji

Data
Created 2020-11-16
Changed 2020-11-16
Version
Size 1.15 MB
Rating
(1 vote)
Author
MD5 Checksum af1df12bc7a14f3afa584d40e8fca9c6
Created by Super User
Changed by Super User
Downloads 331
License
Price
Website
SHA1 Checksum ccb5bf7f73b3f10e4944e132669df095bd8fcb1f